Ripoti ya mwaka 2016 inaonesha Idadi ya watoto nchini
Tanzania mwaka 2014, wenye umri wa kwanzia miaka mitano hadi Kumi na Saba (5 –
17).
UMRI |
JUMLA YA WATOTO |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
Miaka 5 – 17 |
14, 666,463 |
7, 553,446 |
7,113,017 |
Miaka 5 – 11 |
8,741,496 |
4,459,246 |
4,282,251 |
Miaka 12 – 13 |
2,318,570 |
1,219,936 |
1,098,634 |
Miaka 14 – 17 |
3,606,396 |
1,874,264 |
1,732,133 |
Takwimu hizi ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi
kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, serikali na shirika la kazi duniani ofisi ya
tanzania- ILO.
Imeandaliwa na John Kabambala & Hamadi Rashid.