Idadi ya watoto waliotumikishwa nikubwa ikilinganishwa na
maeneo ya mijini,kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2016 iliohusisha utafi
uliofanyika mwakaq 2014.
MAENEO YA MIJIN I/VIJIJINI |
JUMLA |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
Jumla |
5,066,890 |
2,662,098 |
2,404,792 |
Dar es salaam |
45,609 |
12,684 |
32,925 |
Miji mingine |
783,230 |
12,684 |
394,243 |
Maeneo ya Vijijini |
4,238,051 |
2,260,427 |
1,977,624 |
TAKWIMU HIZI NI KWA MUJIBU WA:-
Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, Serikali na
Shirika
la kazi duniani – ILO ofisi ya Tanzania.
John
Kabambala & Hamad Rashid.